Ligi ya Taifa Kikapu itakuwa ni vita
TIMU 16 za wanaume na 12 za wanawake zitashiriki Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) itakayoanza Novemba 17, mwaka huu huku ikitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ligi hiyo ambayo itapigwa kwenye Uwanja wa Chinangali, Dododma ndiyo inayotoa mwakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa na yamekuwa na ushindani mkubwa kila mwaka. Kamishina wa…