MGOMBEA UBUNGE CCM KUJENGA GHOROFA SHULE ALIYOSOMA
Wa pili Kushoto ni Mgombea Udiwani wa kata ya Bwera,Josephat Manyenye akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Chato kusini, Paschal Lutandula (wa tatu kutoka Kushoto) ::::::::::: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chato kusini, Paschal Lutandula, ameahidi kujenga madarasa na Ofisi ya walimu kwenye shule ya msingi aliyosomea. Amesema shule ya msingi Igando ndiyo iliyomsaidia kupata maarifa…