Watumiaji wa WhatsApp kutumia ‘username’ badala ya namba ya simu
Dar es Salaam. Mtandao wa WhatsApp uko mbioni kuanza kutumia jina la kipekee la mtumiaji (username) badala ya namba yake ya simu kama ilivyo sasa, ingawa matumizi ya namba ya simu, pia, yataendelea. Mtandao huo maarufu duniani wenye zaidi watumiaji bilioni tatu katika zaidi ya nchi 180, unatumika kuwasiliana na marafiki na familia, wakati wowote…