Maswa yakopesha Sh124 milioni kwa ajili ya kilimo
Maswa. Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imetoa mikopo yenye thamani ya Sh124.1 milioni kwa vikundi 39 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu, katika utekelezaji wa agizo la Serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya makundi haya maalumu. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi mikopo hiyo leo Oktoba 28,2025 Mkuu…