Cheki Yanga ilivyoikimbiza Simba CAF
MASHABIKI wa Yanga wanalia timu yao haipo sawa, lakini kumbe takwimu zao zinawabeba vizuri ikionyesha umwamba mbele ya Simba. Takwimu zinaonyesha kwenye mechi nne za hatua ya mtoano kwa kila timu katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu huku zote zikifuzu makundi, Yanga imeipiga bao Simba ikiwa na namba nzuri. Yanga imeonyesha kuwa na ubora…