Pamba yapewa pointi tatu za Dodoma Jiji
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, imefikia uamuzi wa kuipa Pamba Jiji pointi tatu na mabao matatu kutokana na mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao, Dodoma Jiji kushindwa kuendelea. Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 28, 2025 na Idara…