Ile rekodi ya Yanga, Simba, Azam na Singida BS CAF, mchongo mzima upo hivi
UKIACHANA na Misri na Morocco zenye uwezekano wa kuingiza timu nne makundi ya michuano ya CAF ngazi ya klabu msimu huu, hivi sasa unaposoma hapa Tanzania na Algeria pekee ndizo zina rekodi hiyo. Tanzania imeweka rekodi hiyo kwa mara ya kwanza klabu zake nne zinazoshiriki michuano ya CAF zimefuzu makundi ambapo Yanga na Simba zinacheza…