Mawakala wa UN wito wa hatua za haraka wakati shida ya kibinadamu ya Sudani inafikia hatua ya kuvunja – maswala ya ulimwengu

Tovuti hii ya lishe inayoungwa mkono na UNICEF inazingatia kutoa uingiliaji wa kuokoa maisha kwa kuzuia na matibabu ya utapiamlo wa papo hapo kati ya watoto chini ya wanawake watano na wajawazito na wanyonyaji. Mikopo: UNICEF/Ahmed Mohamdeen Elfatih na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Jumanne, Oktoba 28, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa…

Read More

Samia Anatosha Urais Haujaribiwi – Global Publishers

  Kada wa chama cha Mapinduzi na Mwanasiasa mkongwe nchini Ndugu Khamisi Mgeja amewatahadhalisha watanzania wasifanye makosa kufanya majaribio ya kuchagua wagombea urais ambao hawana udhoefu wa kiuongozi na  hawajawahi kufanya kazi yeyotehata za serikali za mitaa. Hayo yatakuwa ni makosa ya kujitakia wenyewe Mgeja aliwakumbusha watanzania wosia wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ambaye…

Read More

MNZAVA AWATAKA WATANZANIA KULINDA AMANI WAKATI WA UCHAGUZI

  Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Korogwe Vijijini, Timotheo Mnzava ameongoza mamia ya wananchi wa jimbo hilo katika mkutano wa kufunga kampeni huku akiwataka Watanzania wote kuepuka vishawishi vyovyote vinavyoweza kusababisha uvunjifu wa amani . Akiomba kura za CCM na katika mkutano uliofanyika katika kata ya Mombo, Mnzava amewahimiza vijana na…

Read More

Bosi TRC azungumzia uchunguzi ajali ya SGR

Dar es Salaam.  Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu treni ya Electric Multiple Unit (EMU) maarufu treni ya mchongoko iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma kupata ajali, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Machibya Shiwa amesema uchunguzi bado unaendelea. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TRC ajali hiyo ilitokea saa 2 asubuhi ya…

Read More

Benki ya CRDB, BPIFrance waipa Serikali ya Zanzibar shilingi bilioni 115 uanzishwaji wa mfumo wa kidijitali kusimamia ardhi

  Mkopo wa mfumo huo unaotarajia kuondoa changamoto zilizopo katika sekta ya ardhi hasa migogoro ya makundi tofauti, umetolewa kwa ushirikiano wa Benki ya CRDB itakayotoa Euro milioni 7.949 na Taasisi ya Fedha ya Ufaransa ya BPIFrance, itakayotoa Euro milioni 29.55. Akizungumza kwenye hafla ya kusaini mkataba huo iliyofanyika ikulu visiwani Zanzibar, Rais wa Zanzibar…

Read More