Siku sita za maumivu, mashaka, wasiwasi
Dar es Salaam. Maumivu, wasiwasi na mashaka, ndiyo uhalisia wa kile walichokipitia wakazi wa baadhi ya mikoa nchini ikiwemo Dar es Salaam, katika siku sita za matukio ya vurugu na uvunjifu wa amani yaliyosababisha mabadiliko ya mtindo wa maisha. Matukio hayo yaliyotokea kuanzia Jumatano, Oktoba 29, 2025, yalihusisha baadhi ya wapinzani wa Serikali, kuandamana na…