Mwenye asili ya Uganda ashinda umeya New York

New York. Jiji la New York limemchagua Zohran Kwame Mamdani (34), mzaliwa wa Kampala nchini Uganda, kuwa meya mpya wa jiji hilo, hatua inayoweka rekodi ya kihistoria katika medani za kisiasa na kijamii nchini Marekani, huku akimtahadharisha Rais wa nchi hiyo kupitia kwake kwa jambo lolote kabla ya kuwafikia wananchi wa eneo hilo. Mamdani alizaliwa…

Read More

Wakili Mwasipu afunguka yanayomkabili Heche

‎‎Dar es Salaam. Ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Jeshi la Polisi limkamate John Heche ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Wakili wake, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo anatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya kigaidi, muda wowote atafikishwa mahakamani.‎ ‎Wakili Mwasipu amesema tuhuma za ugaidi zilizoibuliwa kwa mteja wake zinahusiana…

Read More

Uchaguzi mkuu ulivyositisha shughuli za Mahakama

Dar es Salaam. Vurugu zilizotokea kwenye baadhi ya maeneo nchini wakati wa uchaguzi mkuu, ziliathiri uendeshaji wa Mahakama ya Tanzania kwa kuwa ilishindwa kutekeleza majukumu yake na kuvuruga ratiba yake. Vurugu hizo ambazo zimeacha kumbukumbu mbaya ziliambatana na matukio mengine ikiwamo kuzimwa kwa mtandao nchini kote kwa muda wa siku sita tangu siku ya kupiga kura…

Read More

Walichokiona waangalizi wa kimataifa uchaguzi Tanzania

Dar es Salaam. Waangalizi wa uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025, wametoa mapendekezo ya kuboresha chaguzi zijazo, ikiwemo kufanya mageuzi ya mfumo wa uchaguzi ili kutoa haki na kukuza demokrasia nchini. Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi (SEOM) unaowakilisha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Ulaya (EU) ni miongoni mwa waangalizi…

Read More

Suluhisho halisi la mabadiliko ya hali ya hewa linaweza kuwa kupitia sheria za kimataifa – maswala ya ulimwengu

Picha ya UN/ICJ-CIJ/Frank Van Beek Maoni na Joan Russow (Victoria, British Columbia, Canada) Jumatano, Novemba 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Mkutano wa 30 wa “Mkutano wa Vyama” (COP30) kwa Mkutano wa Mfumo wa UN juu ya Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC) utafanyika kutoka 6-21 Novemba 2025 huko Belém, Brazil. Itakusanya pamoja viongozi wa ulimwengu,…

Read More

Daladala 150 zaongezwa Mbezi-Mnazi Mmoja, Posta

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Serikali kutangaza kusitisha huduma za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi) jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kutoa vibali kwa daladala 150. Daladala hizi zitatoa huduma katika ruti za Mbezi -Posta, Mbezi-Mnazi Mmoja, Mbezi- Muhimbili na Mbezi- Mnazi Mmoja. Hatua hiyo inalenga kupunguza changamoto za…

Read More