MWANDISHI WA HABARI MANENO SELANYIKA AFARIKI DUNIA

:::::: Mwandishi wa habari , Maneno Selanyika aliyefariki dunia Oktoba 29, 2025, wakati akiwa njiani kuelekea dukani karibu na makazi yake, baada ya kukumbana na vurugu zilizozuka eneo hilo kwa siku hiyo.  Taarifa kutoka kwa familia na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DAR-PC) zinaeleza kuwa tukio hilo lilitokea ghafla na…

Read More

JESHI LA POLISI LAPONGEZWA KWA KUIMARISHA ULINZI KARIAKOO

Na Mwandishi wetu ,Dar es salaam  KUTOKANA na uvunjifu wa amani na uharibifu wa miundombinu uliojitokeza kwa siku  nne hadi tano  zilizopita kwa baadhi ya maeneo hapa nchini ,wadau mbalimbali wamejitokeza na kulaani vikali vitendo hivyo. Wamedai kwamba hali hiyo  haipaswi kujitokeza tena katika nchi  yetu nakwamba haikuzoeleka kwa wananchi na  kwenye macho ya watanzania …

Read More

SALAMU ZA PONGEZI KWA MHESHIMIWA HAMZA SAIDI JOHARI

 :::::::: Chama cha Mawakili wa Serikali kinatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Hamza Saidi Johari kwa kuteuliwa tena kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uteuzi huu unaakisi ubobezi na uadilifu wake katika taaluma ya sheria, sambamba na matakwa ya Ibara ya 59 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotaka Mwanasheria Mkuu awe na sifa…

Read More

Wananchi wakwama kupata huduma Kibamba, Magomeni

Dar es Salaam. Upatikanaji wa huduma kwa wananchi katika ofisi za serikali za mitaa za Tarafa ya Kibamba na Magomeni umekwama, baada ya ofisi hizo kuchomwa moto wakati wa vurugu na maandamano ya Oktoba 29, 2025. Tukio hilo pia, limekwamisha shughuli za urasimishaji wa ardhi na hatimaye ugawaji wa hatimiliki kwa wananchi, kutokana na kuungua…

Read More

Hoja ya kumkamata Mange Kimambi yazua mjadala

 Dar es Salaam. Wakati Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akieleza kuwa Serikali inaangalia uwezekano wa kumchukulia hatua Mange Kimambi kwa tuhuma za kuhamasisha Watanzania kuandamana, baadhi ya wanasheria wamesema suala hilo si rahisi kisheria. Wataalamu hao wamesema ni vigumu kwa nchi kama Marekani kumkabidhi mtu kwa nchi nyingine, hususan pale anapokabiliwa na tuhuma zenye…

Read More

Rais Dkt. Samia Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Sergei Kiriyenko, Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa…

Read More