Rais wa Mexico Amshtaki Mwanamume Aliyempapasa Barabarani – Global Publishers
Rais wa Mexico, Claudia Sheinbaum, amefungua mashtaka dhidi ya mwanamume aliyempapasa hadharani wakati akizungumza na wafuasi wake karibu na Ikulu ya Kitaifa, jijini Mexico City. Tukio hilo lilitokea Jumanne, na linasambaa sana mitandaoni kupitia video za simu za rununu ambazo zinaonyesha Rais Sheinbaum akizungumza na wananchi kabla ya mwanamume mmoja kumkaribia kutoka…