DKT. TULIA ACKSON AACHIA MBIO ZA USPIKA WA BUNGE LA TANZANIA

Dkt. Tulia Ackson ametangaza kujiondoa rasmi katika kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Novemba 07, 2025. Hii inamwachia nafasi Mussa Azzan Zungu na Stephen Julius Masele kuendelea na kinyang’anyiro hicho ndani ya CCM.

Kujiondoka kwa Dkt. Tulia Ackson kunatengeneza mazingira mapya ya kuteua mgombea wa CCM kwa nafasi hiyo muhimu. Mchakato wa kuteua mgombea bado unaendelea