Pantev aanza na ushindi Ligi Kuu, JKT TZ ikiendeleza rekodi mbovu
MENEJA wa Simba, Dimitar Pantev, ameanza vyema mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara na timu hiyo, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JKT Tanzania, katika mechi iliyopigwa leo Novemba 8, 2025 kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar. Mechi hiyo ni ya kwanza ya Ligi Kuu Bara kwa Pantev,…