Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimethibitisha kukamatwa kwaNaibu katibu Mkuu wake, Amani Golugwa leo Jumamosi, Novemba 8, 2025 majira ya asubuhi.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na mambo mengine imeeleza kuwa Golugwa amekamatwa akiwa nyumbani kwake jijini Arusha.
Related
