Unaanzaje kuwa bahili kwa mwenza wako?
Katika jamii nyingi za Kiafrika na duniani kwa ujumla, uhusiano wa ndoa unajengwa juu ya msingi wa upendo, mawasiliano, kusaidiana na kujali mahitaji ya kila mmoja. Hata hivyo, moja ya changamoto zinazozidi kuonekana ndani ya ndoa nyingi ni suala la ubahili kati ya wenza. Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa bahili bila hata kujitambua, jambo linaloathiri…