……………
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mkoani Dar es salaam Mhe. Mussa Zungu ameibuka mshindinkagika kinyang’anyiro nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 348 dhidi ya Mhe Masele ambaye amepata kura 16 katika kura zote 364 zilizopigwa