Lukuvi Kuongoza Tena Uchaguzi wa Spika wa Bunge la 13 – Global Publishers
Joto la uchaguzi wa Spika wa Bunge la 13 likizidi kupanda ndani ya vyama vya siasa, Mbunge wa Isimani (CCM), William Lukuvi, anatarajiwa kuongoza kikao cha wabunge watakapomchagua Spika mpya wa Bunge la Muungano wa Tanzania, iwapo atakuwepo ukumbini siku ya uchaguzi. Kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2023, Kanuni ya…