November 12, 2025
SERIKALI YAZINDUA MPANGO WA KUREJESHA WALIOKATISHA MASOMO
:::::::: Na Mwandishi Wetu Serikali imesema haitamwacha nyuma mtoto yeyote katika safari ya elimu, huku ikizindua rasmi Taarifa ya Tathmini ya Sera za Urejeaji na Mpango wa Utekelezaji wa Mwongozo wa Kuwarejesha Shuleni Wanafunzi Waliokatiza Masomo katika ngazi ya elimu ya msingi na sekondari kwa sababu mbalimbali. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Naibu Katibu Mkuu…
LATRA YAZINDUA TUZO ZA WATOA HUDIAM BORA ZA USAFIRI 2025
:::::: Na Mwandishi Wetu, MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza kuanza kwa mchakato wa tuzo kwa watoa huduma bora na salama katika sekta ya usafiri ardhini kwa mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Mhandisi Habibu Suluo, alisema hatua hiyo ni utekelezaji wa Kifungu cha…
“Ahadi za Hollow au Tumaini?
Maoni na James Alix Michel (Victoria) Jumatano, Novemba 12, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Victoria, Novemba 12 (IPS) – Cop30 Brazil, ingawa ilipewa kivuli na kukosekana kwa viongozi wengi wa ulimwengu, bado ni hatua muhimu katika mapigano ya ulimwengu dhidi ya mabadiliko ya hali ya hewa, iliyopewa jukumu la kujenga kasi ya Mkataba wa…
MAWAKILI WA TLS KUWASAIDIA WATUHUMIWA WA UHAINI
::::::::::: Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetangaza rasmi kuanza kutoa msaada wa kisheria bila malipo kwa watuhumiwa wa makosa mbalimbali ya jinai, yakiwemo uhaini, kula njama ya kutenda kosa la jinai, uharibifu wa mali, unyang’anyi wa kutumia silaha, uchomaji mali na maandamano bila kibali. Huduma hiyo imeanza kutolewa tangu tarehe 7 Novemba, 2025, katika mikoa…
TTCL YAJA NA HUDUMA TATU KWA BEI MOJA “FAIBA MLANGONI KWAKO”
:::::::::::::: Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limezindua rasmi huduma mpya iitwayo Faiba Mlangoni Kwako – T.Fibre Triple Hub, kifurushi cha kisasa kinachojumuisha huduma tatu kwa pamoja: intaneti ya kasi isiyo na kikomo, huduma ya simu ya mezani, na huduma za simu ya mkononi. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam, ukiashiria hatua kubwa ya TTCL katika kuboresha mawasiliano…
Kocha Malindi ataka rekodi mpya ZPL
KOCHA Msaidizi wa Malindi, Mohamed Salah ‘Richkard’ amesema mabadiliko iliyofanya timu hiyo msimu wa 2025-2026 yanalenga mambo makuu mawili ambayo ni kuuza wachezaji kimataifa na kuweka rekodi ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL). Amesema timu hiyo kwa sasa ina kiu ya kutwaa ubingwa wa ligi hiyo unaoshikiliwa na Mlandege, ili kuleta ushindani wa…
JKT yaambulia pointi moja kwa Asec, yahitaji ushindi tu dhidi ya Mazembe
JKT Queens imeambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast kwenye mechi ya pili kundi B katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake. Mechi hiyo imepigwa leo Novemba 12, 2025 kwenye Uwanja wa Suez Canal mjini Ismailia nchini Misri na inakuwa sare ya pili mfululizo baada ya mechi ya kwanza…
Daka Samsung A26 na Meridianbet Leo
JE unajua kuwa wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wamekuletea ofa kabambe kabisa ambayo inakupa nafasi ya kujishinda simu janja aina ya Samsung A26. Ingia kwenye fursa hii sasa na upate zawadi hii. Promosheni hii ya kibabe ya mwezi Novemba inatarajiwa kumalizika siku ya 30 Novemba huku wewe mteja ukiwa na nafasi ya kuwa mshindi siku…
Lucky Loser, Hata Ukipoteza Bado Unashinda
USHAWAHI kukosa namba zote kwenye mchezo wa Win&Go na ukaishia kukata tamaa? Sasa usiwe na wasiwasi tena. Meridianbet imekuletea Lucky Loser, ofa ya kipekee inayogeuza bahati mbaya kuwa ushindi wa kushangaza. Ndiyo, umesikia vizuri, ukikosa namba zote 6 kwenye tiketi yako, unalipwa mara 30 ya dau lako. Ofa hii inapatikana kwa tiketi zilizowekwa kupitia akaunti…