JE unajua kuwa wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wamekuletea ofa kabambe kabisa ambayo inakupa nafasi ya kujishinda simu janja aina ya Samsung A26. Ingia kwenye fursa hii sasa na upate zawadi hii.
Promosheni hii ya kibabe ya mwezi Novemba inatarajiwa kumalizika siku ya 30 Novemba huku wewe mteja ukiwa na nafasi ya kuwa mshindi siku ya leo kwani si kupata pesa pekee hata pesa ni rahisi kupata.
Ili kumrahisishia mteja wa Meridianbet kuwa bingwa wakali hawa wa ubashiri, wamesema kuwa ili kujiweka kwenye nafasi ya wale wanaoshindania Samsung A26 wameweka dau la shilingi 5000 kila wiki na ubashiri kwenye ligi yoyote ya mpira wa miguu.
Na ambacho kitakufanya wewe ujishindie Samsung A26 ni kucheza mara nyingi zaidi kwenye mechi za mpira wa miguu ili uweze kujiweka kwenye nafasi ya kushinda simu hiyo janja na Meridianbet.
Michezo ya kasino ya mtandaoni ipo tayari kukupatia mshiko wa maana, Cheza sasa Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Meridianbet inasema kuwa washindi watakuwa wakitangazwa kila Ijumaa pekee huku baadhi ya masharti ya Promosheni hii ni kuwa tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa na zitakuwa ni batili kabisa, hivyo basi mteja ukibashiri mechi inabidi usubiri mechi imalizike ndipo uwe umeshiriki kikamilifu.
Kwa hiyo, usisubiri kesho. Cheza leo, bashiri kwa Tsh 5,000 tu, na uingie kwenye droo ya washindi wa Samsung A26. Kila dau lako ni hatua moja kuelekea ushindi mkubwa ambao unaweza ukafurahia ushiriki wako sasa.