Waliohamishwa kwa nguvu wanawake wa Afghanistan wanarudi kwenye maisha ya hofu na wasiwasi – maswala ya ulimwengu

Roya anashiriki hadithi yake na mwandishi wetu wa habari katika mkoa wa Parwan, akielezea hofu na kutokuwa na uhakika anaowakabili baada ya kufukuzwa kutoka Iran. Mikopo: Kujifunza pamoja. na chanzo cha nje (Parwan, Afghanistan) Alhamisi, Novemba 13, 2025 Huduma ya waandishi wa habari PARWAN, Afghanistan, Novemba 13 (IPS) – Wakati Roya, afisa wa zamani wa…

Read More

ICGLR YAJIPANGA KUIMARISHA AMANI KATIKA KANDA

:::::::: Imeelezwa kuwa Jumuiya ya nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ni jukwaa sahihi la kupata ufumbuzi wa Kudumu wa changamoto zinazozikabili nchi wanachama kama vile ukosefu wa amani, usalama na maendeleo endelevu. Hayo yamebainishwa jijini Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Novemba 13, 2025 wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kawaida…

Read More

TRA YAWAHAKIKISHIA WAFANYABIASHARA USALAMA WA BIASHARA ZAO

::::::::::  Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 13.11.2025 amefanya ziara katika soko la Kimataifa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuwahakikishia wafanyabiashara usalama wa biashara zao. Akiwa sokoni hapo Kamishna Mkuu amekutana na viongozi wa wafanyabiashara na wamachinga pamoja na wafanyabiashara wenyewe na kuwapa pole kwa…

Read More

Nchi masikini zinakaribisha upotezaji na wito wa mfuko wa uharibifu wa maombi, onya unapungukiwa na mahitaji – maswala ya ulimwengu

Wanaharakati wanaopinga Cop30 huko Belém, Brazil. Mikopo: Farai Shawn Matiashe/IPS na Farai Shawn Matiashe (Belém, Brazil) Alhamisi, Novemba 13, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BELém, Brazil, Novemba 13 (IPS) – Nchi zilizoendelea kidogo zimetangaza wito wa kwanza wa mapendekezo ya Mfuko wa Upotezaji na Uharibifu, ambao ulizinduliwa mnamo Novemba 11 katika Mkutano wa hali…

Read More

Faili kamili la uwaziri mkuu wa Mwigulu Nchemba

Rais Samia Suluhu Hassan, ametimiza wajibu wake wa kikatiba. Ndani ya siku 14 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia alipaswa kuwasilisha bungeni jina la mtu anayempendekeza kuwa Waziri Mkuu, ili wabunge wamthibitishe. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 51 (1) na (2), inatoa mwongozo huo…

Read More

Promosheni Ya Kibabe na Meridianbet Hii Hapa

KAMA ilivyo kawaida Meridianbet kwa promosheni hapa ndio nyumbani, na safari hii kuna mwendelezo wa promosheni ya Kujisajili, Kuweka Pesa, Kucheza na Kujishindia Samsung A26. Promosheni hii imeanza mwezi huu tarehe 01 na itaenda mpaka 30 Novemba ambapo zaidi ya simu janja aina ya Samsung A26 zitatolewa na Meridianbet kwa wale ambao watakuwa washindi. Vilevile…

Read More

TBS wazindua mashindano ya Insha vyuo vikuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limezindua shindano la uandishi wa insha kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea maadhimisho ya Siku ya Viwango Barani Afrika, yenye lengo la kukuza uelewa na ushiriki wa vijana katika masuala ya ubora wa viwango. Akizungumza na waandishi wa…

Read More

CUF yaivaa INEC yaitaka ijiuzulu, INEC yajibu

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Wananchi (CUF), kikiitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kujitathmini na, ikiwezekana, watendaji wake kujiuzulu, Mwenyekiti wa tume hiyo, Jacobs Mwambegele amesema malalamiko yoyote dhidi ya chama hicho kama yana hoja zenye mashiko kipeleke mahakamani. CUF miongoni mwa vyama 18 vyenye usajili wa kudumu vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025,…

Read More