Kisukari tishio, Tanzania yataja mikakati
Dar es Salaam. Idadi ya wagonjwa wa kisukari duniani imepanda kwa kasi isiyokuwa ya kawaida, ikifikia zaidi ya watu milioni 800 mwaka huu, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya mara nne ikilinganishwa na miaka ya 1990. Ripoti mpya ya jarida maarufu duniani la afya The Lancet, kwa ushirikiano na Shirika la Afya Duniani (WHO), inaonya…