Rais Samia Anamuapisha Mwigulu Nchemba Kuwa Waziri Mkuu Mpya…. – Global Publishers




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 14 Novemba, 2025.