JE, unajua kuwa ukiwa na Live In-Play Booster ni rahisi kutengeneza pesa kila sekunde? Kwani hiyo sekunde na dakika zinaweza kukuletea utofauti mkubwa kati ya ushindi wa kawaida na ushindi mkubwa zaidi.
Kutokana na hilo Meridianbet wamemua kuja na Live In-Play Booster ambayo hii ni kwaajili ya kumpa kila mteja wa Meridianbet fursa nzuri kabisa ya ya kuongeza ushindi wake hapo kwa hapo huku mechi ikiwa mubashara kabisa.
Meridianbet imekuja na mfumo huu au huduma hii maalumu kabisa kwa wale wapenzi wa michezo ambao hupenda kufatilia mechi zikiwa mubashara, yaani zikiwa zinaendelea. Na kupitia Live In-Play Booster mchezaji anaweza kuweka dau lake wakati mchezo unaendelea na kupata odds kubwa zaidi ambazo zinaboreshwa kulingana na matukio ya muda halisi ndani ya mchezo. Hii inamaanisha kwamba kadri mchezo unavyosogea, ndivyo nafasi ya kuongeza ushindi inavyoongezeka.
Tengeneza pesa na michezo ya Kasino kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Meridianbet inakwambia hivi ongezeko la ongezeko la ODDS kwenye mechi mubashara linaweza kuwa dakika ya 20, 40, 60 na 80 huku kwenye mechi hizo zinazoendelea hiyo ambayo itakuwa na alama nyekundu B, odds zitaongezwa.
Vilevile ongezeko la odds kwenye hizo mechi ambazo zinaendelea litakuwa la dakika 1 pekee hivyo mchezaji anatakiwa kuwa makini kufanya ubashiri kwa wakati sahihi kabisa ili asipitwe na fursa hiyo.
Pia ikumbukwe kuwa wakati tukio kubwa lolote likatokea wakati wa ongezeko la odds. Mechi itahairishwa na nyongeza haitapatikana kabisa.
Live In-Play Booster inaleta msisimko mpya katika ubashiri. Inawapa wachezaji uwezo wa kubadilisha mikakati yao wakati mchezo unaendelea, hivyo kufanya kila sekunde ya mechi kuwa yenye maana zaidi. Si tu unafurahia mchezo, bali unaongeza nafasi zako za ushindi mkubwa kwa kutumia maarifa yako ya wakati halisi.
Fuata masharti na vigezo vya promosheni hii ndani ya Meridianbet uweze kufaidika maradufu na mechi hizi ambazo zitakuwa mubashara kabisa.