JKT yatupwa nje CAFWCL | Mwanaspoti
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens wametupwa nje kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuchapwa mabao 4-1 na TP Mazembe. Mtanange huo umepigwa kwenye Uwanja wa Suez Canal mjini Ismailia, Misri na kwenye kundi B JKT iliyomaliza nafasi ya tatu imeondolewa pamoja na Gaborone United iliyomaliza nafasi ya…