Ushindi Mnono Unakungoja na Meridianbet Leo

MECHI za kufuzu Kombe la Dunia 2026 bado zinaendelea na wewe leo hii una nafasi ya kushinda pesa kibao kabisa. Meridianbet inakwambia hivi tandika jamvi lako la ushindi sasa na uibuke Milionea sasa. Vinara wa Kundi D, France watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Azerbaijan ambao mpaka sasa wana pointi 1 pekee huku wakiwa nyuma…

Read More

Kamal Foundation Yaongeza Nguvu ya Ujumuishwaji kwa Kugawa Miguu Bandia kwa Walengwa 28

KAMPUNI ya Kamal kupitia Kamal Foundation imeonesha mfano wa namna ushirikiano kati ya sekta binafsi, Serikali na jumuiya za kimataifa unavyoweza kuleta matokeo chanya kwa watu wenye ulemavu, baada ya kugawa miguu bandia kwa walengwa 28 jijini Dar es Salaam—hatua inayotajwa kuunga mkono ajenda ya kitaifa ya kuongeza ujumuishwaji katika maendeleo. Akizungumza katika tukio hilo…

Read More

Changamoto ya kisheria kwa watu wenye jinsi tata

Dar es Salaam. Wakati kukiwa na ongezeko la watu wenye jinsi tata au ulemavu wa via vya uzazi nchini, unyanyapaa na gharama kubwa za matibabu vimetajwa kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili watu wa jamii hiyo. Kutokana na hayo, kundi hilo limeiomba Serikali kutoa msaada kwao na elimu kwa jamii ili kupunguza mifumo ya kibaguzi na…

Read More

Kocha Mualgeria aishtua Yanga CAF

KOCHA wa zamani Simba, Abdelhak Benchikha ameitahadharisha mapema Yanga kwamba ijiandae kukutana na ugumu katika mechi ya pili ya Kundi B dhidi ya wababe wa Algeria, JS Kabylie aliyowahi kuinoa kabla ya kuachana nayo mwaka huu, akisema jamaa ni wagumu mno. …

Read More

Simulizi ya Mtanzania aliyeshinda tuzo ya kimataifa ya Mohammad Ali

Dar es Salaam. Maisha uliyopitia yanaweza kujenga wazo linaloweza kukutambulisha duniani. Ndivyo ilivyo kwa Gibson Kawango, ambaye awali alitaka kuwezesha familia yake kupata nishati ya umeme, sasa anatambulika kimataifa na wengi wananufaika na ubunifu wake. Utambuzi huo ni kutokana na kuwezesha upatikanaji wa nishati ya umeme kwa kutumia betri mbovu za kompyuta mpakato kutengeneza mfumo…

Read More

Mapendekezo ya wadau ya kuondoa uzuiaji wa maiti hospitalini

Dar es Salaam. Wakati uzuiaji wa maiti hospitalini kutokana na gharama za matibabu ukiwa ni mfupa mgumu nchini, ili kutokomeza tatizo hilo, wadau wameishauri Serikali kuhakikisha inaweka mifumo sahihi na thabiti ya ugharamiaji wa afya. Wametaja bima ya afya, kuimarishwa kwa mfuko wa ustawi wa jamii, na Serikali kutenga fedha kama ruzuku za kulipia matibabu…

Read More

Maximo, KMC lolote litatokea | Mwanaspoti

KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu wa KMC (CEO), Daniel Madenyeka, amesema licha ya mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika Ligi Kuu Bara, suala la kuachana na kocha wa timu hiyo, Mbrazil Marcio Maximo, bado halijafikia uamuzi wa mwisho. Akizungumza na Mwanaspoti, Madenyeka amesema hakuna kiongozi anayefurahishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa sasa, ingawa hawawezi kufanya…

Read More