November 17, 2025
Waendesha Bodaboda Watakiwa Kuepuka Vitendo Vya Uhalifu – Global Publishers
Last updated Nov 16, 2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewataka maafisa usafirishaji (bodaboda) kujiepusha na vitendo vyovyote vya uhalifu au uvunjifu wa amani kutokana na makundi yenye nia ovu kudaiwa kuwashirikisha baadhi ya vijana wakiwemo waendesha bodaboda katika vitendo vya kihalifu. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Operesheni Mkoa…
Pacome, Doumbia wamtikisa Kocha Mreno
KIKOSI cha Yanga kimeshavuka bahari ya Hindi na kutua visiwani Zanzibar kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mwisho ya kukabiliana na Far Rabat ya Morocco katika mechi ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kocha wa timu pinzani ameanza kuingiwa ubaridi mapema. …
Dimitar Pantev hajaridhika, kuna kitu anakitafuta Simba
ZIKIWA zimesalia siku sita tu kabla ya Simba kutupa karata ya kwanza katika mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Petro Atletico ya Angola, kocha wa timu hiyo, Dimitar Pantev amewaambia mastaa wa timu hiyo anataka wafanye mambo yatakayowabeba kundini. …