MAWAZIRI WALIOTEMWA NA RAIS SAMIA HAWA HAPA

::::::::

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.

 Walioachwa ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dk Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na Dk Damas Ndumbaro wa Katiba na Sheria. 

Wote hawa wanabaki na nafasi zao za ubunge.