Kwa nini Fedha ya Hali ya Hewa ni muhimu kwa utekelezaji wa NDCs barani Afrika – Maswala ya Ulimwenguni

Wanaharakati wanapinga juu ya hitaji la kuweka joto ulimwenguni hadi nyuzi 1.5 Celcius huko Cop30, Belém, Brazil. Mikopo: Farai Shawn Matiashe/IPS na Farai Shawn Matiashe (Belém, Brazil) Jumanne, Novemba 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Hatukuanza moto huu, lakini tunakabidhiwa muswada huo. Muswada wa nchi tajiri. Ni wakati wa kulipa. Barabara ya dola trilioni…

Read More

Papa Leo Xiv Salamu kwa Makanisa ya Global South walikusanyika kwenye Jumba la Makumbusho la Amazonia la Belém – Maswala ya Ulimwenguni

na chanzo cha nje Jumanne, Novemba 18, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Ninasalimia makanisa fulani ya Global South yaliyokusanyika kwenye Jumba la Makumbusho la Amazoni la Belém, nikijiunga na sauti ya kinabii ya Makardinali wa Ndugu yangu ambao wameshiriki katika COP 30, na kuwaambia ulimwengu kwa maneno na ishara kwamba mkoa wa Amazon unabaki…

Read More

ACT-Wazalendo wapinga uteuzi wajumbe tume ya uchunguzi

Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuikataa Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuatia, kikisema kuwa tume hiyo haina sifa ya kuleta ukweli, uwazi wala haki kwa waathirika. Mapema, leo Jumanne, Novemba 18, 2025, Rais Samia…

Read More

TUJALI UTU WA MTANZANIA – DK. KIJAJI

………. Na Saidi Lufune, Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma kwa wananchi. Dk. Kijaji ameyasema hayo jijini Dodoma mara baada ya kuripoti kazini na kufanya mazungumzo na menejimenti ya wizara,…

Read More

Mawaziri wataja uzalendo, ubunifu kukabiliana na ukosefu fedha

Chamwino. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Serikali kujitegemea katika miradi kutokana na hofu ya kukosa mikopo, imeamsha ari ya mawaziri ambao wameahidi kuwa wanakwenda kupambana. Rais Samia amesema kuna wasiwasi kuhusu kukubalika kwa Serikali katika mikopo kwa baadhi ya mataifa kutokana na alichosema machafuko yaliyotokea kwamba yameiweka Tanzania katika sifa mbaya, hivyo akawataka…

Read More

MAREKANI YATOA CHANZO YA KUZUIA VVU

 ……. Marekani imesema leo kuwa imetoa chanjo mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya Ukimwi kupitia dawa ya Lenacapavir katika nchi mbili za Afrika. Mkurugenzi mtendaji wa Global Fund, Peter Sands, amesema kwa ujumla, takriban dozi 1,000 zimewasilishwa nchini Eswatini na Zambia na zitaanza kutolewa wiki hii. Marekani inapanga kupanua usambazaji wa chanjo hiyo ya…

Read More

Sababu zatajwa tovuti, aplikesheni kushindwa kufanya kazi duniani

Dar es Salaam. Baadhi ya tovuti duniani (website), pamoja na aplikesheni kama  X, PayPal na ChatGPT leo Jumanne zimepitia changamoto ya kushindwa kufanya kazi kutokana na hitilafu iliyojitokeza kwenye miundombinu ya intaneti ya kampuni ha Cloudflare.  Cloudflare ni kampuni inayosaidia tovuti kulinda na kudhibiti trafiki ya intaneti. Kazi kuu ya Cloudflare ni kusaidia kulinda na…

Read More

Wachumi: Kauli Samia sawa na kufunga mkanda

Dar es Salaam. Tanzania huenda ikaingia katika kipindi kipya cha ukata wa kifedha na Rais Samia Suluhu Hassan amewataka mawaziri wapya wajipange kukumbana na ugumu huo kufuatia doa ambalo taifa limepata kufuatia matukio ya Oktoba 20, wachumi wameeleza. Tafsiri ya wasomi hao inafuatia kauli ya Rais Samia kuwa Serikali huenda isipate misaada na mikopo kama…

Read More