RAIS DKT MWINYI AKIKAGUA UJENZI WA UWANJA WA ZANZIBAR SPORTS COMPLEX

Muonekano wa Ujenzi Uwanja Wa Zanzibar Sports City Uliopo Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi.

(PICHA) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh,Dkt Hussein Ali Mwinyi, akisikiliza Maelezo ya Mradi wa Uwanja wa Zanzibar Sports City kutoka kwa Mmiliki wa Kampuni ya ORKUN GROUP Inayotekeleza Ujenzi wa Uwanja huo leo tarehe 18 Novemba 2025.

(PICHA) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh,Dkt Hussein Ali Mwinyi, akiangalia Ramani ya Mradi wa Uwanja wa Zanzibar Sports City (PICHANI KULIA) Mmiliki wa Kampuni ya ORKUN Inayotekeleza Ujenzi wa Uwanja (KUSHOTO) Mhe Riziki Pembe Juma Waziri Mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutembelea mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City uliopo Fumba, Mkoa wa Mjini Magharibi, kwa ajili ya kukagua maendeleo ya ujenzi unaoendelea kwa maandalizi ya Michezo ya AFCON 2027.

PICHA AHMED ABDULSHAKUR ABDALLA

IKULU ZANZIBAR