Waziri wa Afya Mohammed Mchengerwa, ameanza rasmi majukumu yake leo tarehe 18 Novemba, 2025 mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Akiwasili katika Ofisi za Wizara ya Afya, Mchengerwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi wamepokelewa na Katibu Mkuu Dkt. Seif Shekalange pamoja na viongozi mbalimbali na watumishi wa wizara.

Related
