Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo Na Mawaziri Wa Ofisi Yake Dodoma – Global Publishers



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira  na Mahusiano, Deus Sangu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Riadh Kisuo.

Kikao hicho kimefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 19, 2025.