……………
Klabu ya Simba Kuendelea kutumia Jezi ambayo iliizindua mwanzo mwa msimu katika mashindano ya kimataifa
Kupitia ukurasa wao wa @simbasctanzania wameposta Jezi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26.
Kilichobadilika ni nembo za mdhamini na Ya Caf.