HabariWAZIRI MKUU MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC Admin3 hours ago01 mins 6 ………………. Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam. Post navigation Previous: Fedha za haraka za kubadilisha mifumo ya kilimo – maswala ya ulimwenguNext: SIMBA KUTUMIA JEZI ILEILE KIMATAIFA
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UKARABATI MKUBWA WA RELI YA TAZARA Admin2 minutes ago 0
Dk Mwinyi ateua, kubadilisha makatibu wakuu wizara nane, naibu makatibu wakuu wizara tano Admin35 minutes ago 0