Pantev ageuka mbogo, Sowah, Mukwala kazi wanayo

WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kununua tiketi ili kushuhudia pambano la kwanza la makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika la Jumapili dhidi ya Petro Atletico ya Angola, kocha wa kikosi hicho, Dimitar Pantev amegeuka mbogo akiwatega washambuliaji wa kati wa timu hiyo. Simba ina washambuliaji watatu matata wakiongozwa na Jonathan Sowah, Steven Mukwala na Seleman…

Read More

Yanga kicheko Zenji, Kocha Mreno ashusha pumzi

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kikiwa kambini Zanzibar tayari kwa pambano la kwanza la makundi dhidi ya Far Rabat ya Morocco, huku benchi la ufundi likipata mzuka kutokana na wachezaji wa mwisho waliokuwa timu za taifa kuwasili visiwani humo. Yanga itashuka kesho kwenye Uwanja wa New Amaan, mjini Unguja kuumana na Far Rabat katika mechi…

Read More

Winga Yanga awavujishia Simba faili la Waangola

SIMBA ipo katika maandalizi ya mwisho ya kukutana na Petro Atletico ya Angola katika mechi ya Kundi D la Ligi ya Mabingwa Afrika itakayopigwa keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini sasa kuna winga mmoja wa Yanga amewashtua juu ya wapinzani wao hao. Simba itavaana na Petro  Atletico kuanzia saa 10:00 jioni kabla ya…

Read More