Mchambuzi wa soka nchini, Jemedali Said ameeleza kuwa peformance ya Klabu ya Yanga kwa sasa ndiyo inatia shaka katika kundi ambalo wapo kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
Video full ipo YouTube ya Global TV
🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Related