Shule zinapaswa kuwa ‘mahali patakatifu sio malengo’ anasema Naibu Mkuu wa UN kufuatia kutekwa nyara hivi karibuni – maswala ya ulimwengu

T iliripotiwa hapo awali kuwa wanafunzi 215 walitekwa nyara kutoka Shule ya St Mary’s huko Papiri, Jimbo la Niger, mapema Ijumaa asubuhi – lakini takwimu hiyo ilibadilishwa zaidi kuwa wanafunzi 303 na walimu 12, kulingana na Chama cha Kikristo cha Nigeria. Mwenyekiti wa chama hicho ambaye aliripotiwa kutembelea shule hiyo Ijumaa alisema kuwa zaidi ya…

Read More

FCC: MPANGO WA KUREKODI ALAMA ZA BIASHARA KUANZA DESEMBA 2025

  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, akizungumza wakati akiwasilisha kwa chama cha mawakili cha International Trademark Association (INTA)  …. Tanzania imepiga hatua muhimu katika kulinda mali ya kiakili na kudhibiti bidhaa bandia, baada ya Tume ya Ushindani (FCC) kutangaza mpango mpya wa kurekodi za Alama za Biashara (Trademark Recordation)…

Read More

Kama pengo la utajiri linaongezeka, UN inataka mpango mpya wa viwandani kwa maskini zaidi ulimwenguni – maswala ya ulimwengu

“Kwanza, tunahitaji kumaliza vita. Halafu, lazima tuanzishe tena viwanda,” anasema Basher Abdullah, mshauri wa Waziri wa Biashara na Biashara wa Sudan. Kama nchi nyingi masikini zaidi ulimwenguni, majaribio ya Sudan ya kukuza uchumi wake yanazuiliwa sana na migogoro. Walakini, hata wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya kikatili, UN inaendelea kutoa msaada, na njia…

Read More

Utoro, mimba vyaongoza mdondoko wa wanafunzi

Dar es Salaam. Mimba na utoro vimeendelea kuwa sababu kuu za wanafunzi kuacha shule katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kwa mwaka 2024, kama inavyoelezwa katika ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Ripoti ya Statistical Abstract ya mwaka 2024 iliyochapishwa Septemba 30, 2025 katika tovuti ya NBS inaonyesha kuwa utoro ulibeba asilimia 99.21 ya…

Read More

Siku saba za presha umeya, uenyekiti wa halmashauri

Dar es Salaam. Joto la uteuzi wa kuwania umeya wa majiji, manispaa na wenyeviti wa halmashauri limehamia ngazi ya kamati za siasa za mikoa, zitakazochuja na kupendekeza majina ya wagombea hao kwa ngazi ya kitaifa. Hatua hiyo ni baada kamati za siasa za wilaya za Chama cha Mapinduzi (CCM) zilizoketi leo Jumamosi Novemba 22 nchi…

Read More

Mbeto amtaka OMO aachane na stori za Uchaguzi uliomalizika

 ………. Ma Mwandishi  Wetu  Zanzibar  Chama Cha Mapinduzi  kimemtaka aliyekuwa Mgombea Urais  wa Zanzibar  kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman  , iwapo  chama chake kina ubavu wa kushindana na CCM kisubiri Uchaguzi Mkuu ujao  mwaka 2030. Aidha ,CCM  kimeyaita madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu  wa Zanzibar  urudiwe huku OMO   akiamini  atamshinda Rais Dk Hussein  Ali…

Read More

Njia za kunusuru visiwa vinavyozama baharini zatajwa-2

Tanga/Pemba. Kutoka Maziwe, Pangani mkoani Tanga hadi Panza, kisiwani Pemba, Zanzibar, simulizi ni moja ya namna mawimbi ya bahari yanayoongezeka mwaka hadi mwaka, yanavyoathiri historia na maisha ya kila siku ya wananchi. Kwa Juma Idd Hassan, maarufu Fundi Ten, mkazi wa Kisiwa cha Maziwe, hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa kudhibiti hali hii inayochangiwa na mabadiliko…

Read More

ULEGA ATOA SIKU SABA ZA MOTO KWA WAKANDARASI

…………….. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku saba kwa Wakandarasi Wazawa wanaotekeleza miradi ya dharura katika barabara ya Gairo – Dodoma – Kintinku kukamilisha kuweka tabaka la juu la lami katika maeneo  yanayokarabatiwa ili kuruhusu magari kupita juu ya barabara na kuondokana na adha ya foleni katika barabara za mchepuo. Ulega ametoa maelekezo hayo…

Read More

Wakulima watia shaka utolewaji fedha kukabili athari za mabadiliko ya tabianchi

Dar es Salaam. Wakati dunia inaangazia kwa makini majadiliano ya Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) unaofanyika Belem, nchini Brazil, wakulima wadogo wa Afrika Mashariki na hasa wale wa vijijini nchini Tanzania, wanaendelea kubeba mashaka kuhusu mustakabali wao. Rais wa Shirikisho la Wakulima wa Afrika Mashariki (EAFF), Elizabeth Nsimadala,…

Read More