Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Lazaro Nyalandu kuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya diplomasia.
Taarifa hiyo imetolewa leo, Novemba 21, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka.

Related
