Watano wafariki, mmoja akijeruhiwa ajalini Arusha

Arusha. Watu watano wamefariki dunia na mmoja akijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika maeneo ya Mbuyuni, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo leo Jumapili Novemba 23, 2025 imeeleza ajali hiyo imetokea leo saa saba mchana katika eneo…

Read More

Serikali yajibu wasiopata miili ya ndugu, jamaa zao

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwataka wananchi wenye ndugu na jamaa waliotoweka tangu vurugu za Oktoba 29, mwaka huu, kwenda kuripoti vituo vya polisi, imetoa hakikisho la usalama na amani kwa wananchi siku ya Desemba 9, 2025. Aidha, imesema ipo katika mazungumzo na wadau mbalimbali wa maendeleo, kuwaeleza upande wa pili wa uhalisia wa yaliyotokea,…

Read More

Mtanzania aingia kikosi bora CAFWCL

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya kikosi bora cha mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Mtanzania Hasnath Ubamba anayekipiga FC Masar ya Misri akiwemo ndani. Siku chache zilizopita As Far Rabat ya Morocco ilinyakua ubingwa wa michuano hiyo iliyoanza kupigwa Novemba 08 hadi 21, baada ya kuitandika Asec Mimosas ya Ivory Coast…

Read More

Simba yaangusha Pointi tatu Kwa Mkapa

SIMBA imepoteza mechi ya kwanza ya kimataifa nyumbani tangu ilipolala 3-0 mbele ya Raja Casablanca Februari 18, 2023, lakini lawama zote za mechi ya leo zilienda kwa kocha wa Wekundu hao ambaye alianza kushambuliwa na mashabiki tangu kilipoanikwa kikosi kilichovaana na Petro Atletico ya Angopla. Simba ilicharazwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini…

Read More

Azam FC yaanza vibaya makundi CAFCC

TIMU ya Azam imeanza vibaya mechi za Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kufungwa mabao 2-0 na AS Maniema Union, katika mechi ya kwanza iliyopigwa kwenye Uwanja wa Stade des Martyrs, huko jijini Kinshasa DR Congo. Katika mechi hiyo ya kwanza, licha ya Azam kumiliki mpira kwa asilimia 58, kipindi cha kwanza, ila…

Read More