Mkutano wa UN unaonyesha suluhisho za kubadilisha Maswala ya Kusini – Maswala ya Ulimwenguni

“Mapinduzi ya kijani” inaaminika kuwa yameokoa mamilioni ya maisha nchini India wakati wa karne ya 20, kuanzisha mbinu mpya za kisayansi ambazo zilisababisha kuongezeka kwa mavuno, kutoa chakula na maisha. Lakini utumiaji wa mbolea ya syntetisk na dawa za wadudu zilikuja kwa gharama kubwa, kwa mazingira na afya, na kusababisha shauku inayokua ya kilimo hai…

Read More

SERIKALI KUONGEZA KONGANI ZA VIWANDA KUIMARISHA UZALISHAJI

Serikali imepanga kuongeza maeneo maalum ya uwekezaji (kongani) nchini, hatua inayolenga kuchochea uzalishaji, kuongeza ajira na kuboresha mazingira ya kufanya biashara. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam alipotembelea Tume ya Ushindani (FCC), Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, alisema sekta ya viwanda imeendelea kukua na kuimarika, hususan katika uzalishaji wa malighafi unaochangia maendeleo…

Read More

Waendelea kusaka walipo ndugu zao

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiwataka wanaotafuta ndugu zao kufika vituo vya polisi, baadhi ya Watanzania, wakiwamo wakazi wa jiji la Dar es Salaam, wameendelea kuzunguka vituo mbalimbali vya polisi wakitafuta ndugu na jamaa zao waliopotea tangu Oktoba 29, 2025, bila mafanikio. Oktoba 29 mwaka huu, siku ya uchaguzi mkuu kuliibuka maandamano yaliyozua vurugu, kusababisha…

Read More

Zaidi ya watuhumiwa 200 vurugu za uchaguzi waachiwa huru

Mikoani. Watuhumiwa wa makosa ya kuchoma moto, kuharibu mali za umma na unyang’anyi wa kutumia silaha wakati wa vurugu za maandamano siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025, wameachiwa huru katika mahakama mbalimbali nchini. Watuhumiwa hao walikamatwa na kufunguliwa mashtaka wakihusishwa kwenye kushiriki kwenye maandamano yaliyotawaliwa na vurugu yaliyojitokeza katika baadhi ya mikoa ya Dar…

Read More

Watanzania wanavyokataa kubaguana kwa itikadi za dini

Dar es Salaam. Wamekataa kubaguana, ndiyo uhalisia wa kinachoonekana katika mitandao ya kijamii nchini, waumini wa dini ya Kiislamu na Kikristo wanaonyesha mshikamano na umoja, licha ya tofauti zao za kiimani. Wimbi jipya la maudhui ya  ucheshi kuhusu umoja wa kidini limeibuka kwenye mitandao ya kijamii nchini, likiwa kama ishara ya wazi kwamba Watanzania hawataki…

Read More

TCCIA: Wafanyabiashara jiandaeni ushindani wa kibiashara Afrika

Morogoro. Wafanyabiashara nchini wametakiwa kujiandaa na ushindani wa kibiashara, kufuatia hatua ya Serikali kushiriki mazungumzo ya kikanda yatakayowezesha bidhaa za Tanzania kuingia kwenye masoko ya Afrika bila ushuru kufikia mwaka 2030. Hatua hii inatarajiwa kufungua fursa kubwa za biashara, hususan kwa wanachama wa Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima Tanzania (TCCIA). Akizungumza wakati wa…

Read More