Ahadi zilizovunjika, Tumaini Mpya – Wito wa kugeuza maneno kuwa vitendo – maswala ya ulimwengu

Maoni na James Alix Michel (Victoria, Seychelles) Jumanne, Novemba 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Victoria, Seychelles, Novemba 25 (IPS) – Wakati ulimwengu ulikusanyika huko Glasgow kwa COP26, mantra ilikuwa “kujenga nyuma bora.” Miaka miwili baadaye, huko Sharm El Sheikh, COP27 aliahidi “utekelezaji.” Mwaka huu, huko Belém, Brazil, COP30 ilifika na mzigo mzito: hatimaye…

Read More

DRFA: Yanga freshi, zingine zisikate tamaa

Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam, Lameck Nyambaya, ameipongeza Yanga kwa kuanza vyema hatua ya makundi michuano ya kimataifa, huku akizitaka Simba, Azam na Singida Black Stars kuongeza juhudi na kubadili matokeo baada ya kupoteza mechi zao za kwanza.  Simba ilikubali kipigo cha bao 1–0 dhidi ya Petro Atletico…

Read More

Gaza Inakabiliwa na Kuanguka Mbaya zaidi Uchumi Iliyowahi Kurekodiwa, Shirika la Biashara la UN linaonya – Maswala ya Ulimwenguni

Akiongea wakati wa uzinduzi wa Unctad2025 REport juu ya uchumi wa eneo lililochukuliwa la PalestinaNaibu Katibu Mkuu wa shirika hilo Pedro Manuel Moreno alisema miongo kadhaa ya vizuizi vya harakati, pamoja na shughuli za kijeshi za hivi karibuni, “walikuwa” wamefuta miongo kadhaa ya maendeleo “na kuwaacha Gaza na Benki ya Magharibi wanakabiliwa na uharibifu wa…

Read More

Idadi vifo vurugu za Oktoba 29 bado giza nene

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekutana na maswali kutoka kwa wahariri kuhusu matukio ya mauaji, utekaji na idadi ya watu waliopoteza maisha Oktoba 29, maswali ambayo kwa siku kadhaa yamekuwa yakizungumzwa na wananchi na kusambaa kwenye mitandao ya kijamii. Akiwa katika mkutano na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari leo Novemba 25,…

Read More

Niffer mambo bado magumu, wenzake huru

Dar/Mikoani. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ameendelea kuwafutia mashtaka washtakiwa wa kesi za uhaini, lakini  mfanyabiashara wa vipodozi, Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer, anaendelea kusalia rumande kwa kuwa mashtaka dhidi yake hayajafutwa. Wakati hali ikiwa hivyo kwa Niffer, mwandishi wa habari wa Kituo cha Ayo TV na wafuasi sita wa Chama cha Demokrasia na…

Read More

Benki ya Exim yaanza uhamasishaji wa afya mahali pa kazi

Dar es Salaam. Kisukari kinaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za kiafya zinazokua kwa kasi nchini Tanzania, huku maelfu ya watu wakiishi na ugonjwa huu bila kujua hali zao. Uelewa mdogo, kuchelewa kufanya vipimo, pamoja na kuongezeka kwa mitindo ya maisha isiyo rafiki kwa afya ikiwa ni pamoja na ulaji usiofaa, kutofanya mazoezi na msongo…

Read More