DKT. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR

 

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi kuu ya  CCM Kisiwandui,  Zanzibar  leo tarehe 25 Novemba 2025