WATAALAMU WA RADIOGROFIA TANZANIA WAOMBA KUTAMBULIKA KIBINGWA.

………

Na Ester Maile Dodoma 

Chama cha Wataalamu waradiogrofia Tanzania TARA imeiomba Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma na Utawala bora iweze kukitambua chama hicho kibingwa na kibobezi .

Hayo yameelezwa leo 27 Novemba 2025 jijini Dodoma katika ukumbi wa Midland Hotel walipo kuwa wanafanya mkutano wa mwisho aa mwaka wa chama.