KIKWETE AKITAKA CHUO KUFANYA TAFITI ZITAKAZOSAIDIA KUBORESHA UTUMISHI WA UMMA NCHINI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania kuendelea kufanya tafiti zinazolenga kutatua changamoto za muda mrefu zinazoukumba utumishi wa umma nchini, ili kuleta tija zaidi katika utekelezaji wa dira ya maendeleo ya mwaka 2050. Amesema hayo wakati wa…