HabariOFISI ZA TRA KUWA WAZI NCHI NZIMA Admin2 weeks ago01 mins 11 :::::::::::: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa ofisi zake zitakuwa wazi Jumamosi tarehe 29 na Jumapili tarehe 30 kwa nchi nzima kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni. TRA imewakaribisha kwenda kupata huduma. Post navigation Previous: TANZANIA KUELEKEA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA NA JUMUIYA YA KIMATAIFANext: Kesi za Ulimwenguni zinaongezeka kama watoto milioni 30 wanakosa chanjo, shirika la afya la UN linaonya – maswala ya ulimwengu