EXIM BENKI YAJIVUNIA KUWA SEHEMU YA MSIMU WA NNE WA KOROSHO MARATHON MTWARA
Exim inajivunia kuwa sehemu ya msimu wa nne wa Korosho Marathon mkoani Mtwara, kama mdhamini mkuu wa mbio za Kilomita 5—ikiwa ni sehemu ya mchango wao endelevu katika kuunga mkono michezo, ustawi wa vijana na afya ya jamii. Mgeni rasmi katika tukio hili alikuwa Waziri wa Vijana, Mheshimiwa Joeli Nanauka, ambaye alisisitiza umuhimu wa ushiriki…