MSAMA: TUWAPUUZE WANAOLIPWA KUVURUGA AMANI YETU

Mfanyabiashara malufu nchi Tanzania Ndugu Alex Msama amewataka Watanzania kuwapuuza watu ambao wanalipwa ili kuvuruga amani ya nchi yetu ya Tanzania na mara nyingi sio Watanzania na baadhi yao ni Watanzania wanaoishi nje ya nchi kama vile Kenya na mataifa mengine ya nje. “Watanzania wenzangu, nawasihi kwa moyo mmoja tuwapuuze watu wanaotaka kuvuruga amani yetu,…

Read More

Hekaya za Mlevi: Maofisa Usafirishaji wawe walinzi wetu

Dar es Salaam. Nilijisahau nikaita “Bodaboda…”. Yule jamaa alisimama na kuniangalia kwa jicho la kejeli hadi nikajisikia vibaya. Wakati tumeianza safari nilimuuliza tatizo ni nini, akanijibu “Kaa vizuri usianguke”. Safari iliendelea hadi mwisho, nikateremka na kumlipa. Kabla hajaondoka alisema: “Siku nyingine sema ofisa, sio Bodaboda!” Nikakumbuka kuwa siku hizi hawa huitwa “Maofisa wa Usafirishaji”. Hadhi…

Read More

Pedro asimulia ushujaa wa Diarra Yanga

YANGA jana Ijumaa Novemba 28, 2025 imeokota pointi moja ugenini mbele ya JS Kabylie pale Algeria, katika ardhi ambayo ilikwenda mara mbili mfululizo na kuambulia vichapo kabla ya juzi kuwakazia Waarabu. Mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, wamekusanya pointi nne katika mechi…

Read More

Kimbembe huduma ofisi za Serikali za mitaa zilizochomwa moto

Dar es Salaam. Ofisi za wenyeviti, watendaji wa mitaa na kata zimewaka moto. Kwa baadhi si mihuri wala kalamu iliyookolewa, madhila yamebaki kwa wananchi wanaokosa huduma muhimu, hata zile za barua ya utambulisho. Hali hii imelazimu viongozi wa mitaa kubadili mtindo wa huduma; badala ya kufuatwa ofisini, sasa baadhi humfuata mwananchi alipo baada ya kuwasiliana…

Read More

Patali: Sekodari 84 Mbeya vijijini kunufaika mradi programu masomo kidigitali

Mbeya. Shule za Sekondari 84, Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya zimeanza kunufaika na matumizi kidigitali kujifunza na kujifunzia kupitia programu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama). Hatua hiyo imekuja baada uanzishwaji wa maabara zaTehama kwa lengo la kuwezesha walimu kufundishia wanafunzi mitaala mbalimbali kupitia mifumo ya  kidigitali. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Novemba 28,…

Read More

MADEREVA WA MWENDOKASI 35 WATUNUKIWA VYETI NIT

Waziri wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewataka madereva wa mabasi ya mwendokasi na yale ya kawaida kutumia lugha nzuri wanapotoa huduma kwa abiria ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima barabarani na kuepusha ajali. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa kuwatunuku vyeti madereva 35 waliohitimu mafunzo ya uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi (BRT), amesema…

Read More

Aucho ampa mzuka Gamondi, Singida ikiwavaa Wasauzi kesho

KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi, amesema hawazi sana kuhusu presha ya mechi ya kesho dhidi ya Stellenbosch, huku akiweka wazi kwamba kiungo Khalid Aucho atacheza. Mechi ya kwanza ambayo Singida Black Stars ilifungwa 2-0 ugenini na CR Belouzidad, Aucho hakuwepo huku ikielezwa alichelewa kupata visa ya kuingia Algeria akitokea kwenye majukumu ya timu…

Read More

Papa Leo XIV atembelea msikiti maarufu Uturuki

Uturuki. Papa Leo XIV ametembelea Msikiti wa Sultan Ahmed, unaojulikana pia kama ‘Blue Mosque’ uliopo Instabul nchini Uturuki. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki Duniani amefanya ziara hiyo leo Jumamosi  Novemba 29, 2025 ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku tatu nchini humo. Kwa mujibu wa Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Vatican, “Papa amefanya…

Read More