DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI

…………… Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na  Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025.  Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Read More

Morogoro kufungua dirisha jipya la biashara, uwekezaji

Morogoro. Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima (TCCIA), kwa ushirikiano na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, imeandaa maonyesho makubwa ya kibiashara yatakayofanyika kwa siku 10 kuanzia Novemba 20 hadi 30 mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Maonyesho haya yatakutanisha wadau kutoka sekta za biashara, viwanda na kilimo, na yatatoa fursa maalumu…

Read More

Waziri wa vijana ni nani na yapi yanamsubiri?

Dar es Salaam. Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu kuahidi kuunda wizara mahususi ya vijana, ametimiza hilo huku akimteua Joel Nanauka kuwa waziri wake wa kwanza. Katika hotuba yake ya kuzindua Bunge la 13, Rais Samia Suluhu Hassan alisema kwa kuwa zaidi ya asilimia 60 ya watu nchini ni vijana, Serikali itaweka kipaumbele kwenye…

Read More

Mbaroni kwa madai ya kujiteka Tabora

Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Hadija Jimmy (39), mkazi wa Manispaa ya Tabora, kwa tuhuma za kujiteka ili kujipatia fedha za matumizi. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Jumatatu, Novemba 17, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao, amesema kuwa mwanamke huyo anadaiwa kujiteka kutokana na kudai kuwa baba wa…

Read More

Rais Samia airudisha Tamisemi Ofisi ya Waziri Mkuu

Dodoma. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Novemba 17, 2025 Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma ameunda wizara 27 na kuteua mawaziri 27 na naibu mawaziri 29. Katika wizara hizo, Rais Samia ameirejesha tena Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Mwaka 2015, Rais wa awamu…

Read More

Simba, Yanga zapewa marefa wa kadi nyingi CAF

WIKIENDI hii, Yanga na Simba zinashuka uwanjani katika mechi za kwanza za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika zote zikiwa nyumbani, huku Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiwaanika waamuzi watakaozichezesha wakiwa na rekodi ya kugawa kadi kama njugu. Kwa mujibu wa ratiba ilivyo ni kwamba Jumamosi Yanga itaanza kwa kuikaribisha AS FAR Rabat ya Morocco…

Read More