Polisi Waanza Uchunguzi wa Kifo cha MC Pilipili Dodoma – Video – Global Publishers
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma, kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Gallus Hyera, amesema linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mshereheshaji na Mchekeshaji Emmanuel Mathias, MC Pilipili, baada ya kuwepo kwa taarifa zenye utata juu ya mwili wake ikielezwa kuwa umekutwa na majeraha. Akizungumza na Jambo Tv kwa…