Hili hapa baraza la mawaziri la Samia

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, likiwa na jumla ya wizara 27, mbili mpya, ikiwemo ya Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana. Rais Samia ametangaza baraza hilo leo, Jumatatu Novemba 17, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, uliofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Wataapishwa kesho…

Read More

Kocha AS Maniema aitisha Azam FC

KOCHA wa AS Maniema Union, Papy Okitankoyi Kimoto, ni kama ameitumia salamu Azam FC kimtindo baada ya kusema wanataka kuanza kampeni ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu kwa ushindi, huku malengo yao makubwa ni kumaliza ndani ya nafasi mbili za juu na kufuzu robo fainali. Kauli ya Kimoto imekuja wakati huu ambao…

Read More

Wachumi wambebesha zigo waziri wa fedha atakayeteuliwa

Dar es Salaam. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri kuanzia sasa, wachambuzi wameiangazia nafasi ya waziri wa fedha huku wakiainisha mambo anayotakiwa kuyasimamia ili kukuza uchumi wa Tanzania. Rais Samia ameshamteua Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu na kuthibitishwa na Bunge kisha kuapishwa Novemba 14, 2025 kushika wadhifa huo….

Read More

Watanzania mzigoni nusu fainali Ligi ya Mabingwa

JKT Queens inajiandaa kurejea nchini baada ya kung’olewa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa timu za wanawake (WCL), lakini kuna Watanzania wawili wanaokipiga klabu ya FC Masar ya Misri watakaokuwa uwanjani usiku wa leo katika mechi za nusu fainali. Wawakilishi hao wa Tanzania walipangwa Kundi B na kumaliza nafasi ya tatu ikitoka…

Read More

MAWAZIRI WALIOTEMWA NA RAIS SAMIA HAWA HAPA

:::::::: Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita.  Walioachwa ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, Hussein Bashe (Kilimo), Innocent Bashungwa (Mambo ya Ndani), Jenista Mhagama (Afya), Dk Seleman Jafo (Viwanda na Biashara), Dk Pindi Chana (Maliasili na Utalii) na…

Read More